Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

A/kuwaaalika

Ads
A/kuwaaalika
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha kwanza cha Send Off ya Monalisa Liana
Familia ya Dr.Pamela & Dr Felix Nandonde kwa niaba ya Bw&Bi Liana wa Kilombero inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Prof/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha kwanza cha kamati ya Send off ya binti yao mpendwa Monalisa John Liana
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Bwalo la Umwema tarehe 17/08/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano :Felix 0713757157
Pamela 0717 086187/0621083849,
Similar cards
Inspirations
Venue : Al Jazeera Tower, Corniche roadPagājušā gada nogalēOn Wednesda, 22 January 2025On Monday, 3rd January 2025On Friday, 3rd JanuaryHAZRATH SYED NUSRATH MIYAN CHISHTI
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 55 Created 7 days: 567 Created 30 days: 2002 All ecards: 353372
Copyright by CreateGreetingCards.eu