A tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA USIKU WA ZAWADI
Familia ya Bw&Bi ANGELUS KOMBA wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi CATHERINE SELEMA tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha Usiku wa Zawadi cha binti yao mpendwa DAULA KOMBA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakachofanyika Jambo Bar-Jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa Moyo wa Ukunjufu (2 Wakorintho 9:7).
Kufika kwako ndio mafanikio ya sherehe ya binti yetu mpendwa
Kwa Mawasiliano
DAULA KOMBA - 0763-325-453
CATHERINE SELEMA - 0748-094-575
HAPPINESS SELEMA - 0686-377-634
EDMUND SHAYO - 0743-299-652
Statistics
Created today: 4
Created yesterday: 69
Created 7 days: 535
Created 30 days: 1783
All ecards: 352979
Copyright by CreateGreetingCards.eu