Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili

Ads
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Yonael Msuya inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki

Mawasiliano : Yonael mlembo 0758996967/0712492897
Similar cards
Inspirations
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tanoVenue : Sahajeevan Niwas Room No.01 Sawant compound kokan nagar bhandup west601 shiakh abdula building ,back side of al Jazeera gift centre , al Shuwaihean SharjahBornhan and Haldi Kumkum Invitation4 & 5 Dec 2022Solanki family cordially invite you to join Sunder kand on Date 23 February-2021-Tuesday(time 3 PM)
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 212 Created 7 days: 1709 Created 30 days: 3658 All ecards: 328847
Copyright by CreateGreetingCards.eu