Anatarajia kufunga ndoa na
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ISMAELY PALLANGYO wa Ngulelo Arusha wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
MAX I. PALLANGYO
anatarajia kufunga ndoa na
EUSEBIA B. MASSAWE mnano mwa mwezi December 2023 katika kanisa Katoliki Mt. Fransisko wa Asizi kwa Ngulelo Arusha. Hivyo kama ndugu, rafiki, jamaa wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali ma nali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tunaomba ukabidhi mchango wakp kwa aliekupa kadi.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati 2Wakorintho 9:7
Statistics
Created today: 20
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1628
Created 30 days: 3683
All ecards: 328932
Copyright by CreateGreetingCards.eu