Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moravia ushirika wa

Ads
Anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moravia ushirika wa
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
JASMIN
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moravia ushirika wa SEGERA TUKUYU
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki Sana

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Chaitra Gaur Haldi Kumkum InvitationLetOn Friday, 28th Oct 2022Time: 4:30pm Bornahan & Haldi kumkumWe cordially invite you all to grace the occasion ofNote : Please do come with your partner
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 8 Created 7 days: 42 Created 30 days: 335 All ecards: 360761
Copyright by CreateGreetingCards.eu