Anatarajia kufunga ndoa Oktoba 2024
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mr & Mrs Makande wa Mbagala, Dar es Salaam inayo Furaha kukujulisha
kuwa Kijana wao mpendwa
Hamza Makande
anatarajia kufunga ndoa Oktoba 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 03/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mr Shaibu Makande
Airtel: 0687586399
Vodacom: 0746917834
Statistics
Created today: 5
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1706
Created 30 days: 3655
All ecards: 328844
Copyright by CreateGreetingCards.eu