Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg

Ads
Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
Create a similar
Send a card
The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
.....................
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Mariam S.Kyando
Anatarajiwa kuagwa ( sendoff)mnamo Tar.01/08/2024.Hivyo Familia kwa kutambua umuhimu wako wewe ukiwa kama ndugu ,jamaa na rafiki WA familia hii unaombwa sana Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuli hii .
Mchango ni Tshs.70000 Double
Tshs.30000 Single
Tunaomba umpatie mchango wako Aliye kupatia kadi au unaweza kutuma kwa njia ya M-pesa,Halopesa na Tigo pesa hapo chini .Familia itafarijika sana endapo mchango wako utawafikia kabla ya Tar.27/08/2024.
Tunatanguliza shukrani za dhati na Mungu akubariki..Kutoka 28
Kwa mawasiliano Piga simu Na; 0768033206/0716449310/0623677624.
...................
Mwenyekiti wa kamati .
Similar cards
Inspirations
Regard:-Sneha KumarPlease join us for Haldi Kumkum and Advik’s bornhan functionVenue : Sai SwaroopVenue : D 53/1Venue: A 82 Forest CountyVenue : E-801, Alpine Fiesta
Statistics Created today: 23 Created yesterday: 70 Created 7 days: 1542 Created 30 days: 3664 All ecards: 329079
Copyright by CreateGreetingCards.eu