Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mr/Mwl/Eng

Ads
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mr/Mwl/Eng
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mr/Mwl/Eng
Letcia Emmanuel
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
08 & 12-Dec-2021Meltus JosephatSULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha NYAHI HM kuwa kijana waoOn Monday , 12 February 2024श्री देवनारायण नमःVenue: B-703, Prime Square Society, Pimple Saudagar
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 11 Created 7 days: 61 Created 30 days: 306 All ecards: 359953
Copyright by CreateGreetingCards.eu