Create a similar
Send a card
The content of the card
DMchango Wa Harusi
Familia ya Mr &Mrs Winston Minja wa Chanika Dar Es Salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
...................................................
kuwa kijana wao mpendwa Jacob W.Minja
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 08/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mungu akubariki
Mawasiliano:
Mr Winston Minja 0754 974987/ 0784620272
Mr Jacob Minja 0754 710188
Statistics
Created today: 68
Created yesterday: 74
Created 7 days: 979
Created 30 days: 4192
All ecards: 329965
Copyright by CreateGreetingCards.eu