Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Dr.KIVAMBE

Ads
Dr.KIVAMBE
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.Gelard Elias Mdushi wa Kisewe/Temeke/Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

............Dr.KIVAMBE............
kuwa kijana wao mpendwa Mdushi Gelard
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 100,000 na single kwa shilingi elfu 50,000 wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano:Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
Varalakshmi VratamOn Saturday, 12th March, 202223rd FebruaryVenue : Mukund Niwas, Flat No.4, 1st Floor, 14th Road, Khar West - 400052Familia ya Mzee Mbweto wa komkonga Handeni inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaSARAH
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 109 Created 7 days: 541 Created 30 days: 1667 All ecards: 352750
Copyright by CreateGreetingCards.eu