Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.Gelard Elias Mdushi wa Kisewe/Temeke/Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
...........DR.NGONYANI...............
kuwa kijana wao mpendwa Mdushi Gelard
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 100,000 na single kwa shilingi elfu 50,000 wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.
Mawasiliano : Mdushi Gelard 0718321579
Statistics
Created today: 65
Created yesterday: 124
Created 7 days: 648
Created 30 days: 1992
All ecards: 353281
Copyright by CreateGreetingCards.eu