Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

ESTER L.MAGINYA

Ads
ESTER L.MAGINYA
Create a similar
Send a card
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA HARUSI

Familia ya Mch Joseph Mbitiyiponya wa SENGEREMA(BUKALA)inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
ESTER L.MAGINYA
..............................
kwenye kikao cha kwanza Cha maandalizi ya harusi ya mtoto wao mpendwa SELEMAN JOSEPH MBITI
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika katika ukumbi WA kanisa la PAG SENGEREMA MJINI tarehe 19/05/2024 Siku ya J/pili saa 13:00 Mchana
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki.
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli hii.

Mawasiliano :0768141444
0765161682
Similar cards
Inspirations
On Thursday, 1 January 2024On Thrusday , 26 January 2023On The Occasion Of Margashirsh Lakshmi Udyapan Haldi-KumkumVenue : B-402,Ravinanda SkylightsOn Monday; 31st January 2022Venue : S4/01
Statistics Created today: 70 Created yesterday: 53 Created 7 days: 782 Created 30 days: 2457 All ecards: 339736
Copyright by CreateGreetingCards.eu