Familia ya Augustines Muhoja inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
Familia ya Augustines Muhoja inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Philbert Muhoja
anatarajia kufunga ndoa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha Harusi hii .Tunapenda Kutanguliza shukrani zetu. Mwisho wa kupokea michango tarehe 30/11/2024 Michango yote iwasilishwe kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana.
Statistics
Created today: 37
Created yesterday: 77
Created 7 days: 898
Created 30 days: 2638
All ecards: 354268
Copyright by CreateGreetingCards.eu