Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI w Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI w Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI w Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa NURUDINI YUSUPH HAMISI
anatarajia kufunga ndoa na NAFIL ABDI ISAKA.
Inayotarajiwa kufanyika tarehe 26/10/2024.Ukiwa kama ndugu jamaa jirani na rafiki was familia hii. Unaombea mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuti hii.
Mwisho was mchango ni 24/10/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mola akulipe kheri

Mawasiliano :NURUDINI HAMISI 0627117968. AU
TIGO LIPA NO. 7347648
Similar cards
Inspirations
13/05/2025The most beneficent and most mercifulVenue : Blk 22 , lobby1 #03-02Venue : V 202, Jasminium societyOn Saturday, 22 January 2024Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha/ kuwajulisha
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 63 Created 7 days: 518 Created 30 days: 1683 All ecards: 352805
Copyright by CreateGreetingCards.eu