Familia ya Bibi Diana Maneno na Bwana Furaha Mwakatika wa Majumba Sita Ukonga Dar Es Salaam, inayo
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Bibi Diana Maneno na Bwana Furaha Mwakatika wa Majumba Sita Ukonga Dar Es Salaam, inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Doreen Furaha Mwakatika anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne (2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) Binti Yetu.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia MKOBA Namba 1531059 au Sim
Kwa Mawasiliano
+255768757104 - Upendo Jacob Mwakatika
+255676931291 - Doreen Furaha Mwakatika
Mungu Akubariki sana
Statistics
Created today: 113
Created yesterday: 458
Created 7 days: 977
Created 30 days: 4218
All ecards: 329816
Copyright by CreateGreetingCards.eu