Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. Abdul Hassan Ndege

Ads
Familia ya Bw. Abdul Hassan Ndege
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO
Familia ya Bw. Abdul Hassan Ndege
wa Mbweni - Malindi D'Salaam
Wanayofuraha kukujulisha/kuwajulisha
Bw.& Bi./Prof./Dr./Mhe./Bibi/Ndugu
kuwa binti yao mpendwa
HARRIETH ABDUL NDEGE
wanatarajia kumfanyia sherehe ya Send-Off mwezi wa Saba (05 July 2024). Hivyo ukiwa ndugu, jamaa na rafiki wa familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali, ili kufanikisha shughuli hii muhimu na yenye baraka.
DOUBLE TZS. 130,000 | SINGLE TZS. 100,000
Tafadhali tunaomba uwasilishe mchango wako
kabla ya tarehe 30/06/2024.
Mchango utumwe kwa namba zifuatazo:
Tigo 0655 444448 - Abdu Ndege (Baba) Voda 0746 333338 - Abdul Ndege (Baba) Voda 0753 404754 - Pilly M. Mzee (Mama)
Kwa Mawasiliano zaidi:
0754 280086 Peter Wilson Lubuwah - (Mwenyekiti).
0718 099980 Magoti Mafwele - (Katibu)
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mungu Akubariki/Awabariki sana!
Similar cards
Inspirations
Tehmina & JatinderOctober 20 | 6:30 PMSunday 08th August 2021Ajit and Manisha SinghAttila és EtelkaNikesh & Natasha
Statistics Created today: 39 Created yesterday: 70 Created 7 days: 1558 Created 30 days: 3680 All ecards: 329095
Copyright by CreateGreetingCards.eu