Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw & Bi Albinus Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bw & Bi Albinus Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw & Bi Albinus Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
Josephat Albinus Kelisa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa September 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/09/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Ushiriki wa michango ni kupitia mitandao yote ya simu kwa namba tajwa hapo chini kama tigo pesa au kwa njia ya bank (NBC acc no 054163002906) Jina: Josephat Albinus Kelisa

Mawasiliano : Josephat A Kelisa 0714 534 248
Sophia Machage 0756 860 131
Similar cards
Inspirations
On Friday, 24th NovemberFARM VIEW APARTMENT 40गुरुवार 8 फेब्रुवारी 2024 रोजीPriyankaOn Saturday, 26 January 2022Time: 3pm onwards
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 20 Created 7 days: 200 Created 30 days: 669 All ecards: 358406
Copyright by CreateGreetingCards.eu