Familia ya Bw & Bi Mwamaso inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw & Bi Mwamaso inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa JAMES BENARD MWAMASO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi Septemba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/08/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : 0653748344 Mama mwamaso
Statistics
Created today: 1
Created yesterday: 74
Created 7 days: 856
Created 30 days: 4080
All ecards: 330100
Copyright by CreateGreetingCards.eu