Familia ya Bw&Bibi. SAMWEL SIMION KILYUNGUZI wa Iringa Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bw&Bibi. SAMWEL SIMION KILYUNGUZI wa Iringa Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Noel Kiula Samwel
anatarajia kufunga ndoa Tarehe 22/11/2025 .
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 17/11/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki.
Mawasiliano : Samwel Simion 0784 845250
Noel Samwel 0768 458989
Statistics
Created today: 77
Created yesterday: 116
Created 7 days: 916
Created 30 days: 2663
All ecards: 354231
Copyright by CreateGreetingCards.eu