Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bw. JULIUS ELIUS KATUKU wa Mipango Dododoma, inayo furaha kubwa sana kukujulisha/kuwajul

Ads
Familia ya Bw. JULIUS ELIUS KATUKU wa Mipango Dododoma, inayo furaha kubwa sana kukujulisha/kuwajul
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI

Familia ya Bw. JULIUS ELIUS KATUKU wa Mipango Dododoma, inayo furaha kubwa sana kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
Kuwa kijana wao mpendwa JUWAMA JULIUS ELIAS
anatarajia kufunga Ndoa na Binti JOYCE SINGO wa Itega Dodoma mnamo tarehe 16/12/2023.

Hivyo basi ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/12/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Single Tsh 30,000/=
Double Tsh 45,000/=
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri na baraka Tele.

Kwa kuwasilisha mchango na mawasiliano zaidi:
Juwama Julius 0683 337 067
Faston Focus. 0657 440 004
Similar cards
Inspirations
Sankranti Haldi Kunku and AthaanSree Matre NamahTime: 4:30pm Bornahan & Haldi kumkumI Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Vaibhav Lakshmi Udyapan & HaldiKumkumAnatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumiOn Friday 1 st November
Statistics Created today: 31 Created yesterday: 101 Created 7 days: 576 Created 30 days: 1792 All ecards: 352937
Copyright by CreateGreetingCards.eu