Familia ya Bwana/Bibi Bundala Misamo wa Urambo -Tabora inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana/Bibi Bundala Misamo wa Urambo -Tabora inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
kuwa kijana wao mpendwa Peter Bundala Misamo
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa saba (22/07/2023).
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/07/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu Akubariki..!
Mawasiliano:
Peter B. Misamo 0768404590
Julieth S. Kayanda 0693640505
Statistics
Created today: 33
Created yesterday: 58
Created 7 days: 432
Created 30 days: 4015
All ecards: 330396
Copyright by CreateGreetingCards.eu