Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana/Bibi Francis Kishashu wa Mkolani Mwanza, wanyo furaha kubwa sana

Ads
Familia ya Bwana/Bibi Francis Kishashu wa Mkolani Mwanza, wanyo furaha kubwa sana
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SEND OFF

Familia ya Bwana/Bibi Francis Kishashu wa Mkolani Mwanza, wanyo furaha kubwa sana
kukujulisha/kuwajulisha
Bwana/Bibi/Bi/Mr/ Mrs/Mwl/Pdr/Eng/Dr/Prof

———————————————————
Kuwa tunatarajia kufanya sherehe ya Kumuaga (Send-off) binti yetu mpendwa.
Dr. Livia Francis Kishashu
Itakayofanyika tarehe 18/02/2023.
Wewe ukiwa kama ndugu au rafiki wa karibu na familia hii
tunakuomba mchango wako wa hali na mali
ili kufanikisha sherehe hii.
Mwishio wa michango ni tarelie 13/02/2023.
Similar cards
Inspirations
MILAD-E-NABI(PBUH) INVITATIOND/o Mrs. Kavitha Arangesh & Mr. ArangeshAmeen ceremony of our SonSHREYAN SIMHAAlhamdulillah It21st feb, 2021(Sunday) at 6:30pm
Statistics Created today: 54 Created yesterday: 101 Created 7 days: 629 Created 30 days: 2044 All ecards: 353371
Copyright by CreateGreetingCards.eu