Familia ya Bwana na Bibi OSIANA MWALWAJO
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango wa Send Off
Familia ya Bwana na Bibi OSIANA MWALWAJO
wa , Sumbawanga Utengule,
wanayo furaha Kubwa kukujulisha/Kuwajulisha
Mhe/Mch/Eng/Dr/Prof/Bwana & Bibi/Bw & Bi.................
Kuwa Binti yao Mpendwa
TUSAJIGWE MWALWAJO
Anatarajia Kuagwa ( Send off) tarehe 24 mwezi wa Nane (8) ,Hivyo basi ukiwa ndugu,Jamaa au Rafik wa karibu wafamilia hii . Tunaomba Mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hii .Hivyob tunaomba kukunga katika group la WhatsApp kwaajili ya mchango.
Tunatanguliza shukrani nyingi za dhati .
Mungu akubariki /Awabariki sana
🙏🙏🙏🙏
Statistics
Created today: 2
Created yesterday: 68
Created 7 days: 911
Created 30 days: 4090
All ecards: 329966
Copyright by CreateGreetingCards.eu