Familia ya Bwana na Bibi Vincent Kuyomba wa Dar Es Salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi Vincent Kuyomba wa Dar Es Salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa mtoto wao mpendwa Uchoti Vincent Kuyomba
anatarajia kufunga ndoa 24 Februari 2023.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Uchoti Kuyomba 0684615348
Aliko Mwakanjuki 0684333333
Statistics
Created today: 19
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1538
Created 30 days: 3660
All ecards: 329075
Copyright by CreateGreetingCards.eu