Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana Projectus na Bi. Iluminata Katabaro wa Bukoba inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bwana Projectus na Bi. Iluminata Katabaro wa Bukoba inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Send-Off.
Familia ya Bwana Projectus na Bi. Iluminata Katabaro wa Bukoba inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

....................................................
kuwa binti wao mpendwa
Innocentia Rutayuga
anatarajia kuwa na sherehe ya Send-Off Tarehe 26, October 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.

Single: Tsh 70,000
Double: Tsh 100,000

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kabla ya tarehe 30/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.


Mawasiliano : 0746040159 au 0752893174
Similar cards
Inspirations
YouD/O S. Balbir Singh and Darshna kaurABB„MiłośćMallepally new indranagar 13-1-1236/281 near shivaji statue HyderabadOne we pray your unity will always
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 74 Created 7 days: 1596 Created 30 days: 3661 All ecards: 328995
Copyright by CreateGreetingCards.eu