W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana SALVATORY KASHAGA wa Kamachumu inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa ENOCK KASHAGA
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki