Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Shaban Hassan Mazila
anatarajia kufunga ndoa na Mariam bint Hussen Abdallah mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri
Mawasiliano :
0621 076314
0658921812
Statistics
Created today: 8
Created yesterday: 74
Created 7 days: 863
Created 30 days: 4087
All ecards: 330107
Copyright by CreateGreetingCards.eu