Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kitetoanyara wanayo fura
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kitetoanyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh
.............................................
kuwa vjana wao wapendwa Shaban Hassan Mazila na Mariam bint Hussen Abdallah wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri
Mawasiliano :
0621076314
0683973141
0658921812
Statistics
Created today: 68
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1769
Created 30 days: 3718
All ecards: 328907
Copyright by CreateGreetingCards.eu