Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fur

Ads
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fur
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh

.............................................
kuwa vjana wao wapendwa Shaban Hassan Mazila na Mariam bint Hussen Abdallah wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
0621076314
0683973141
0658921812
Similar cards
Inspirations
Familia ya Mwl.Omari Mustafa na Bi.Salma Ally Nzige wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajuOn Saturday, 19th January 2024I would like to invite you for Makar SankrantiFollowed by Prasadam303, B14, Kumar park infinia co-operative housing society, pursungi 412308Time:5 pm to 8 pm
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 11 Created 7 days: 64 Created 30 days: 270 All ecards: 360107
Copyright by CreateGreetingCards.eu