Familia ya Isaac Lukwambe wa Mbezi Luis (Dar es salaam) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpen
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Isaac Lukwambe wa Mbezi Luis (Dar es salaam) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Grace I Lukwambe anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa sita.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 20/05/2025
Kwa Mawasiliano na mchango
0676256256 Grace Lukwambe
0757506122 Barieth Ndunguru
Ubarikiwe na bwana!
Statistics
Created today: 53
Created yesterday: 101
Created 7 days: 628
Created 30 days: 2043
All ecards: 353370
Copyright by CreateGreetingCards.eu