Familia ya Joseph na Josephine Kitakwa wa Tabata Segerea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Joseph na Josephine Kitakwa wa Tabata Segerea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
....................................................
kuwa kijana wao mpendwa
Kalinde Joseph Kitakwa
anatarajia kufunga ndoa mwisho wa mwezi October 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu. Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.
Mawasiliano : 0659370744
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 68
Created 7 days: 912
Created 30 days: 4091
All ecards: 329967
Copyright by CreateGreetingCards.eu