Familia ya Josephat Massawe wa kibosho umbwe(Moshi) inayo furaha kukujulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Sendoff
**********************************
Familia ya Josephat Massawe wa kibosho umbwe(Moshi) inayo furaha kukujulisha
Mr &Mrs / Mr/Miss/ Prof/ Dr. /Pr/ Miss/ Ndg
............................................................................
kuwa binti yao mpendwa
Josephine Josephat Massawe
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/08/2023
Kwa Mawasiliano
0656816336 Josephine Massawe
0622073148 Josephat Massawe
0712280354 Deogratius Bwire
Statistics
Created today: 1
Created yesterday: 52
Created 7 days: 394
Created 30 days: 3949
All ecards: 330493
Copyright by CreateGreetingCards.eu