W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
Mchango Wa Sendoff
Familia ya Josephat Massawe wa kibosho umbwe(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Josephine Massawe anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/08/2023