Familia ya JUWAMA JULIUS wa Mipango Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya JUWAMA JULIUS wa Mipango Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa JUWAMA JULIUS
anatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 16/12/2023.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 08/12/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Juwama Julius
Statistics
Created today: 68
Created yesterday: 120
Created 7 days: 979
Created 30 days: 4186
All ecards: 329891
Copyright by CreateGreetingCards.eu