Familia ya Kanali Apollo Mufuruki wa Isamilo,Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Kanali Apollo Mufuruki wa Isamilo,Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
Keneth Rugarabamu Mufuruki
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shukrani zetu za dhati
Mwenyezi Mungu akulipe kheri
Mawasiliano : Stella Kombi 0713387644
Statistics
Created today: 104
Created yesterday: 84
Created 7 days: 1330
Created 30 days: 3784
All ecards: 329244
Copyright by CreateGreetingCards.eu