Familia ya Keneth Meshack Nghwali wa Machimbo Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Keneth Meshack Nghwali wa Machimbo Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Wilfred Meshack(Awilo)
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mawasiliano : Keneth Nghwali 0784450520
Geofrey Meshack 0676766788
Wilfred Meshack (AWilo) 0672033606
Statistics
Created today: 18
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1537
Created 30 days: 3659
All ecards: 329074
Copyright by CreateGreetingCards.eu