Familia ya marehemu Japhari Omary Shabani wa urusi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya marehemu Japhari Omary Shabani wa urusi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Abdul Japhari Omary
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : ABDUL JAPHARI 0716575670
Statistics
Created today: 51
Created yesterday: 101
Created 7 days: 626
Created 30 days: 2041
All ecards: 353368
Copyright by CreateGreetingCards.eu