Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya MATHIAS PETER inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya MATHIAS PETER inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya MATHIAS PETER inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa PASCHAL MATHIAS PETER
anatarajia kufunga ndoa na JOYCE HENRY MAYUYA tarehe 11/10/2025 siku ya jumamosi katika kanisa na parokia ya mtakatifu yosefu KIRUMBA MWANZA.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 9/10/2025.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati

Mawasiliano : PASCHAL MATHIAS PETER. 0621823272/0717823184
Similar cards
Inspirations
Akhand Ramayan Paath InvitationOn Friday, 18-OctoberTime: 6.15 p.mHappy NavratriOn Thursday, 11 January 2024On thursday, 1/2/2024
Statistics Created today: 89 Created yesterday: 124 Created 7 days: 672 Created 30 days: 2016 All ecards: 353305
Copyright by CreateGreetingCards.eu