Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mch Joseph Mbitiyiponya wa Sengerema(Bukala)inayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
Familia ya Mch Joseph Mbitiyiponya wa Sengerema(Bukala)inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Mch Joseph Mbitiyiponya wa Sengerema(Bukala)inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha kwanza Cha maandalizi ya harusi ya mtoto wao mpendwa Seleman Joseph Mbiti
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika katoka ukumbi WA kanisa la PAG SENGEREMA MJINI tarehe 19/05/2024 Siku ya J/pili saa 13:00 Mchana
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki.
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli hii.

Mawasiliano :0768141444
0765161682
Similar cards
Inspirations
GLORIA MASANYIWAOn Friday, August 23thTime: 12.30am to 3pmHAPPY SHARAN NAVARATRII would like to invite you to our home on the occasion of Vaibhav Lakshmi Udhyapan Haldi Kumkum
Statistics Created today: 12 Created yesterday: 16 Created 7 days: 131 Created 30 days: 687 All ecards: 358658
Copyright by CreateGreetingCards.eu