Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Melkizedeck Mligha(Marehemu) was

Ads
Familia ya Melkizedeck Mligha(Marehemu) was
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Melkizedeck Mligha(Marehemu) was
Rau Madukani(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nancy M. Mligha anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi(2022).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022

Kwa Mawasiliano
0784457356 Nancy Mligha
0767264373 Jeff Mligha

NANCY MELKIZEDECK MLIGHA.
Similar cards
Inspirations
Pai Vista Convention Hall,JayanagarMiraya BanquetCalvary AG New ChurchWe cordially invite you for Jal Ceremony ofWith blessings of Smt. ChanderwatiNo es el amor o la pasión. Es por eso que
Statistics Created today: 28 Created yesterday: 458 Created 7 days: 892 Created 30 days: 4133 All ecards: 329731
Copyright by CreateGreetingCards.eu