Familia ya Mhe.Yusuph Saidy Maingila wa Kinondoni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mhe.Yusuph Saidy Maingila wa Kinondoni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mh/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Kasimu Yusuph Maingila
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/03/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mama Wawili 0682699461
Mhe.mpili 0784314080
Statistics
Created today: 39
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1558
Created 30 days: 3680
All ecards: 329095
Copyright by CreateGreetingCards.eu