Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mr ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoa wa lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mr ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoa wa lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoa wa lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ismail ahmadi
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/07/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Ismaila ahmadi 0686083738 au 0629183738
Similar cards
Inspirations
Timing:8.00 PM onwardsVenue : 701, Harmony Homes, AkurdiOn Friday 1sep 2023Venue : Flat No. 301 Om ApartmentOn Sonday, 30 January 2022On Saturday, 5th February 2021
Statistics Created today: 75 Created yesterday: 69 Created 7 days: 606 Created 30 days: 1854 All ecards: 353050
Copyright by CreateGreetingCards.eu