Familia ya Mr and Mrs MKING'I inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ESTER JAILOS MKING'I a
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Mr and Mrs MKING'I inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ESTER JAILOS MKING'I anatarajia kufanya SENDOFF mwishoni mwa mwezi wa Saba(7) 2024
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa saba
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 10/7/2024
Kwa Mawasiliano
0713756411
ESTER JAILOS MKING'I
Statistics
Created today: 70
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1771
Created 30 days: 3720
All ecards: 328909
Copyright by CreateGreetingCards.eu