W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya MR & MRS Ezekiel salingo wa Rukwa -sumbawanga inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Victoria salingo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa sita.
single -50,000/=
double -80,000/=
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 16/06/2025