Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mr & Mrs Remmy Isdory Kavishe a wa Mbezi Dar es salaam, inayo furaha kukujulisha/kuwajuli

Ads
Familia ya Mr & Mrs Remmy Isdory Kavishe a wa Mbezi Dar es salaam, inayo furaha kukujulisha/kuwajuli
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr & Mrs Remmy Isdory Kavishe a wa Mbezi Dar es salaam, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Paul Kavishe
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akulipe kheri

Mawasiliano :0654745884 Paulo kavishe
0716119025 Rose nyamwanji
0712242526 Joseph lyakurwa
Similar cards
Inspirations
On Saturday, 26 January 20202CHARLS GHATISunday,26 january 2025, at 11:00 am onwardsAdhik Shravan Haldi Kumkum InvitationVenue : C-804 Lotus Laxmi 2On Wednesday, 01 February 2024
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 17 Created 7 days: 102 Created 30 days: 597 All ecards: 357976
Copyright by CreateGreetingCards.eu