Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Geoffrey Muganyizi
............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunt 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Friday,28 OctoberVenue :#423 Dsr Eden Greens BangaloreNdugu / REBECCAVenue :9108@OCI Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Sankranti Haldi KumkumFamilia ya Mhe.Yusuph Saidy Maingila wa Kinondoni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 12 Created 7 days: 79 Created 30 days: 333 All ecards: 359776
Copyright by CreateGreetingCards.eu