Familia ya Mwenyekiti Yusuph Bakari mtika wa Kigoma ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwenyekiti Yusuph Bakari mtika wa Kigoma ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Yahya Yusuph Yahya
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Yahya Yusuph 0628988202
Yusuph mtika +255655929778
Statistics
Created today: 191
Created yesterday: 713
Created 7 days: 1794
Created 30 days: 3674
All ecards: 328818
Copyright by CreateGreetingCards.eu