Familia ya Mwl Anna Mnyanyika wa Mtumba Dodoma inayo furaha kukujulisha kuwa kijana wao mpendwa Jail
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Mwl Anna Mnyanyika wa Mtumba Dodoma inayo furaha kukujulisha kuwa kijana wao mpendwa Jailos Senyagwa Mnyanyika anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli hii.
Double ni 60,000/=
Single ni 30,000/=
Tutafurahi kupokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kabla ya tarehe 21/06/2025
Kwa Mawasiliano
0123 456789 Mwl Anna Mnyanyika
0123 456789 Mhasibu
Statistics
Created today: 41
Created yesterday: 70
Created 7 days: 441
Created 30 days: 2070
All ecards: 338681
Copyright by CreateGreetingCards.eu