Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Bw.Joshua A Ryamoja
anatarajia kufunga ndoa na Bi.Christina A Mona mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/12/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati;
Mungu akubariki!!!

Single - 50,000/-
Double - 70,000/-

Mawasiliano:
Joshua - 0744 422658
Theresia - 0713 986686
Similar cards
Inspirations
Venue : Village dhaba babaji patil vadi near opposite(D/o Mrs.& Mr.Gulab Arjun Jagtap,Dombivali)And Mr. Ronak Shah)I your elder brother personally invite you to came and attend the weddingReception 21 / 08 / 2021Sanket & Pooja
Statistics Created today: 7 Created yesterday: 4 Created 7 days: 62 Created 30 days: 272 All ecards: 360080
Copyright by CreateGreetingCards.eu