Familia ya Mzee ANTHONY JACOB wa Kashari (Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa kijana wao mpendwa M
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mzee ANTHONY JACOB wa Kashari (Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa kijana wao mpendwa Mawazo Anthony anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Tisa(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya Harusi hiyo.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 27/09/2023
Kwa Mawasiliano
0716990606 Francis Nombo
0755922393 Mama Leonida
SALOME AMOS.
Statistics
Created today: 26
Created yesterday: 713
Created 7 days: 1629
Created 30 days: 3509
All ecards: 328653
Copyright by CreateGreetingCards.eu